Profile
Name
Belinda Melvine
Description
Welcome to my channel! Here, we dive into all things health, lifestyle and real-life topics. From practical tips for a balanced life to discussions on personal growth and everyday challenges, I cover it all—bringing you honest, relatable content to inspire and empower you on your journey. Join the conversation and don't forget to subscribe for awesome content
Subscribers
4.01K
Subscriptions
Friends
Channel Comments
![]() |
anethally5461
(4 minutes ago)
Nimependa saana somo lako mm nasumbuliwa na uvimbe kwennye mayai
|
![]() |
lovesamson1853
(10 minutes ago)
Mm ninatazizo hilo hata cku zangu czion yapata mie mnne
|
![]() |
monicahjumabossmama8678
(17 minutes ago)
Learnt something!
|
![]() |
agnethanyamwangi7513
(28 minutes ago)
Akitibiwa anauwezo tena wakushika mimba.asante mm natatizo ila nishatibiwa
|
![]() |
beverlynkoyesi1730
(31 minutes ago)
️️I admire your courage bely
|
![]() |
fatumarashidiikram7511
(47 minutes ago)
Kwaiy anakuwa hazai
|
![]() |
Sabinapaulo-n7m
(51 minutes ago)
Mm nina ujauzito wa miez 2 nimechekiwa tumbo nimeambiwa nina uvimbe maji naomba msaada nipate tiba naumwa sana tumbo
|
![]() |
HalimaTwahiri
(1 hour ago)
Jaman ili tatizo linatibika?
|
![]() |
HappynessSoli
(1 hour ago)
Mm nina shida hiyo unanisaidiaje doctor
|
![]() |
HawaSinge
(2 hours ago)
Huu uvimbe husababisha kutongia heth na miez 6 now sijaingia siku zangu
|
![]() |
bilhabrendac2354
(6 hours ago)
wooow big up big toto, go go go girl ️
|
![]() |
barkaabubakar4179
(12 hours ago)
Naweza wasiliana vipi na doctar plz
|
![]() |
lovesamson1853
(14 hours ago)
Mbona cjibiwi kutopata hedhi ukiwa na ovarian cyst no chanzo au ndio inasabisha?
|
![]() |
bonfacetengeyatdkemediaage1693
(5 hours ago)
|
![]() |
DaynecPayovel
(14 hours ago)
Simple cyst ndo uvimbe wa aina gan?
|
![]() |
lovenessdiamond7167
(23 hours ago)
Samahani doctor dawa zinaweza kutoa huo uvimbe maji
|
![]() |
salmaomar-qo8yk
(12 hours ago)
umetiwa wapi mm nnalo ilo tatizo
|
![]() |
Daniel-lv6wt
(8 hours ago)
MnapatikNa wapi nije mnitibie maana nina ovarian cyst
|
![]() |
joyjoysi3389
(11 hours ago)
Mim Niko na mimba na nimeambiwa ninauvimbe maji kwenye mayai ,nifanyeje nimechanganyikiwa jaman nisaidieni dokta
|
![]() |
swaihatfaraji5671
(1 hours ago)
Habar docta je ukiwa na uwo uvimbe wa maji maji ni ngumu kupata ujauzito nijibu please
|
Add comment